falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Waling'aa enzi zile sio leoExtra musica wameng'ara dunia nzima bila video queens. Ni ujinga tu wa wanamuziki wetu
Makalio makubwawakuu habari
nimekuwa nikijiuliza kitu gani kipo kwenye akili za wanamuziki wengi wa kiafrika hawawezi kutoa nyimbo zenye video hadi ziwe na video queens wenye makalio makubwa. ina maana no way out than concerning your video without them big booty
je ni kipi kipo nyuma ya pazia
kweli kabisa aiseeWaling'aa enzi zile sio leo
Leo hii neema za Allah ni sehemu ya kupendezesha video kama huamini fanya video yako bila hao wadudu uone itauza kivile
Re- type [emoji109] [emoji16]Bantu ndiyo Afrika yenyewe