Unga wa Kitarasa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 398
- 101
Hujawahi kuibiwa kabisa hadi usijue kuibiwa ni nini???
hivi jamani inakuwaje pale wanamuziki wetu wanapodai eti wameibiwa mistari au mashairi yao.., kwa mfano juzi kati kulikuwa na bifu kati ya rich mavoko na dogo mmoja hivi kuhusiana na wimbo wa follow me..hivi ishu inakuwaga ni nini wataalamu wa mambo.......ts dj cousin lee@
tehe tehe tehe haya bhana.. ze ishu cyo kuibiwa bro ni kwamba inakuwaje unakuta msanii unakaa ukidai umeibiwa mashairi.., mi naona kama kweli wewe ni msaii mzuri na unajiamini unakipaji huwezi kukaa ukichonga kwa wimbo mmoja....Hujawahi kuibiwa kabisa hadi usijue kuibiwa ni nini???