princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
mbona tekno kawa chipukizi MTVBASE [emoji23][emoji23][emoji23]Mayunga, bright, fezza kessi nawajua tangia mwaka 2012 leo ni 2016 hivi bado ni chipukizi hawa?? Labda nitakuwa sijui maana ya neno chipukizi

Ndio uchipukizi huo,kimziki atupimi umri,tunapima kapenya au katoa kichwaFeza kessy ni chipukizi?? . Mmmh mbona kama alianza kuimba muda sema vinabuma.
Mkuu hawa ni chipkizi kwa sababu hawajaw kuwa kategor yoyote angalia baraka alipewa tuzo wakati alianza muda kikubwa huwa tunaangalia nyimbo iliyokutoaGalatone na Raymond wa kitambo sio chipukizi
Kumbe nae chipukiziKiba sijamuona
hahahaha mawingu fmMlicomment wengi hapo juu nmetumwa na mawingu fm..[HASHTAG]#msiforce[/HASHTAG] tufanane.