Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria.
Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE na Sasa imefikia mikoa 11 na inafika kwa kila Halmashauri na Mitaa/Vijiji vitatu (3) kwa kila Kata.
Bado mikoa 20 haijafikiwa na campaign hii.!