Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Zoezi la kupiga kura linaendelea sasa hivi na malalamiko ya foleni yamekuwa mengi. Sasa kwa wale ambao wamewahi kujiandikisha kabla na unataka kuboresha taarifa au kuhama kituo kuna urahisi kiasi. Unaweza kuanzia mchakato mtandaoni ambako utatakiwa kuweka namba yako ya kitambulisho, namba ya simu unayotumia sasa, namba ya kitambulisho cha NIDA pamoja na kata unayotaka kuhamia.
Ukimaliza ujumbe mfupi unatumwa kwenye simu yako inabaki kwenda kituoni hapo kumalizia process na kupatiwa kitambulisho chako fasta.
Link ya kusajili hiyo hapo, utachagua option inaendana na mahitaji yako uenelee na mchakato -> INEC | Online Voter Registration System