GE2025 Wananchi Arusha wafunguka baada ya majina ya wagombea wa CCM kurudi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Baadhi ya wanachi Arusha wametoa maoni yao baada ya CCM kutangaza majina ya Wabunge waliowateua na kuwatema na baadae wajumbe watakaochagua mgombea mmoja ambaye atasimama kukiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu.

Katika Jimbo la Arusha Mjini walioteuliwa uteuzi wa awali ni saba akiwemo Paul Makonda huku Mrisho Gambo akitupwa nje.

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa mbulula wa Arusha watakuja kulia na kusaga meno...mtu haachi asili yake.
 
Mimi si mwana CCM lkn Makonda Nampa nafasi kubwa iwapo uchaguzi utafanyika .
Makonda ameufanya mji hu kuwa jiji la kitalii ..sasa Ngoma inaanza kuharibiwa kwa haraka pale mkaazi wa Arusha anapoanza kuwaona watalii wanaanza kusumbuliwa barabarani na hao Jamaa wenye ' nguo nyeupe'.
Labda Makonda awe mbunge awarudishe tena kwenye mstari.
 
Wana Arusha siku zote wamekuwa watu wa kujiheshimu sana. Ila wakimchagua Bashite heshima yao yote itakuwa zero(kwa mujibu wa mimi)
 
Awe mbunge kwenye familia yako. Ila kama ningekuwa na mamlaka huyo bedui angekuwa kifungoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…