Wananchi bado sana. Dk 82 mechi ni sare, simu zimepigwa nyingi sana kwa viongozi wa Dodoma Jiji

Ndugu zetu wamechukua kombe lakini njia walizopitia zinasikitisha sana.

Kama unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Jamaa wametumia A4 sana katika mechi zao.

Kwa haraka haraka unaweza sema mayele anapiga magoli ya maana lakini nyuma ya pazia wenyewe wanajua wanachokifanya kwa timu pinzani.

Mpira uki angalia kupitia Azam TV unaona vijana wanapambana lakini ukiwa uwanjani pale mambo ni TOFAUTI maelezo ni mengi kwa timu pinzani.

Napenda kusema kwa hisani ya marefa yanga Iko juu. Kama Kuna refa hajapiga bati nyumba yake basi huyo ajitafakari sana maana jamaa walijipanga kwa nguvu zote ili wawe promoted Kule CAF.

Hizi hapa mechi zao za MCHONGO
Angalia mechi ya Yanga vs Mtibwa pale Manungu complex lile goli la Aziz ki.

Angalia game ya Geuta vs Yanga lile goli la penalt nje ya box.

Angalia mechi ya Yanga vs Namungo pale Majaliwa stadium goli ya Bangala.

Utaona mauza mauza matupu. Then wanakuja kujisifia hapa kwa jukwaa.

Ndio maana hawa mabwana walishiriki African champion league miaka minne mfululizo walikuwa wanaotolewa preliminary round.

Kuna yule zuhura aliwaambia kuwa wao ni Bora Africa eti KISA kamfunga zalan goli tisa. Timu ambayo hata temeke squad ni Bora KULIKO wale.

Kiufupi hawa jamaa sishangai kuambiwa walichukua ubingwa mara 29. Hainistui coz kwa sasa tu Kuna Azam TV Kila mtu anaona lakin mechi zao nyingine wanazicheza kwa tigopesa.

Je, kipindi ambacho kulikuwa hakuna hata media inayoonyesha? Nadhani refa kwa mapenzi yake tu alikuwa anaamua iwe penati kwa kuwa hii ni timu ya kihistoria zaidi.

Ila wanangu wananchi mnaupiga mwingi lakini mnapita sana njia za panya. Ujanja ujanja umekuwa mwingi.

Hongereni mabingwa WA MCHONGO!

Mechi ya Leo mlipagawa kuona dk ya 82 bado ngoma suluhu mkabidi mpige simu zenu kubwa kwa DODOMA JIJI
hii ile mechi na mazembe,monastir,marumo nani alipigiwa simu yanga ishinde?mm nimesahau kidogo
 
Dawa inaingia na inafanya kazi vizuri poleni sana wagonjwa wote wa Yanga fever
 
Unaumia ukiwa wapi?[emoji1][emoji1][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji123]Tulia sindano ikuingie.
20230513_190122.jpg
 
Mtoto mdogo ww huna unachojua
Ndio maana nimetaka majibu kwa wewe unayejua. Nimekuuliza hiyo simu imepigwa kutokea kwa nani kwenda kwa nani? Ukishindwa kujibu hili swali nitakuona hustahili kuwepo kwenye hii platform ya JF. Ulipaswa kuishia Facebook huko
 
Ndugu zetu wamechukua kombe lakini njia walizopitia zinasikitisha sana.

Kama unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Jamaa wametumia A4 sana katika mechi zao.

Kwa haraka haraka unaweza sema mayele anapiga magoli ya maana lakini nyuma ya pazia wenyewe wanajua wanachokifanya kwa timu pinzani.

Mpira uki angalia kupitia Azam TV unaona vijana wanapambana lakini ukiwa uwanjani pale mambo ni TOFAUTI maelezo ni mengi kwa timu pinzani.

Napenda kusema kwa hisani ya marefa yanga Iko juu. Kama Kuna refa hajapiga bati nyumba yake basi huyo ajitafakari sana maana jamaa walijipanga kwa nguvu zote ili wawe promoted Kule CAF.

Hizi hapa mechi zao za MCHONGO
Angalia mechi ya Yanga vs Mtibwa pale Manungu complex lile goli la Aziz ki.

Angalia game ya Geuta vs Yanga lile goli la penalt nje ya box.

Angalia mechi ya Yanga vs Namungo pale Majaliwa stadium goli ya Bangala.

Utaona mauza mauza matupu. Then wanakuja kujisifia hapa kwa jukwaa.

Ndio maana hawa mabwana walishiriki African champion league miaka minne mfululizo walikuwa wanaotolewa preliminary round.

Kuna yule zuhura aliwaambia kuwa wao ni Bora Africa eti KISA kamfunga zalan goli tisa. Timu ambayo hata temeke squad ni Bora KULIKO wale.

Kiufupi hawa jamaa sishangai kuambiwa walichukua ubingwa mara 29. Hainistui coz kwa sasa tu Kuna Azam TV Kila mtu anaona lakin mechi zao nyingine wanazicheza kwa tigopesa.

Je, kipindi ambacho kulikuwa hakuna hata media inayoonyesha? Nadhani refa kwa mapenzi yake tu alikuwa anaamua iwe penati kwa kuwa hii ni timu ya kihistoria zaidi.

Ila wanangu wananchi mnaupiga mwingi lakini mnapita sana njia za panya. Ujanja ujanja umekuwa mwingi.

Hongereni mabingwa WA MCHONGO!

Mechi ya Leo mlipagawa kuona dk ya 82 bado ngoma suluhu mkabidi mpige simu zenu kubwa kwa DODOMA JIJI
🚮
 
Back
Top Bottom