Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Wananchi Manispaa ya Bukoba Mjini wameilalamikia miundombinu ya machinjio na kudai kuwa siyo rafiki kwa matumizi ya binadamu na afya kwa ujumla.
Baadhi ya changamoto zilizolalamikiwa katika machinjio hiyo ni pamoja na
Plumbing system ni chafu na mifereji imekufa, drainage system hakuna, sakafu na kuta zote zina hali mbaya sana.
Wananchi hao wameitaka mamlaka husika kuingilia kati na kujenga machinjio ya kisasa yenye hadhi na inayozingatia miundombinu bora ya kiafya kabla hii iliyopo kuleta madhara.
Mdau anasema kuwa, awali alishawahi kulalamikia machinjio hayo na kusambaza video, lakini machinjio hayo yalifungwa kwa muda, mamlaka husika ikaanza kumtafuta aliyerekodi video hiyo na kuwafukuza walinzi wa machinjio hiyo lakini hakuna marekebisho yaliyofanyika.
Ni alert kabla ya outbreak ya magonjwa ya kuambukiza kutokea vyombo vya Usalama wa Chakula, Mazingira na Dawa (TFDA) watembelee eneo husika na kutoa ushauri haraka!
Baadhi ya Video kutoka machinjioni;