PreGE2025 Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua

PreGE2025 Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Hivi hawa watu huwa wamepangwa ama huwa wanaongea kwa akili zao timamu kabisa?

===

Wananchi wa Bumbuli wakati wakizungumza mbele ya Mbunge wao January Makamba wameeleza kuwa wanamshukuru kwa uchapa kazi wake na watasimama naye 2025-20230 huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema wanamtaka aendelee na ubunge hadi pale Mungu atakpomchukua.
 
Back
Top Bottom