Nyie wapumbavu CCM na propaganda zenu mfu jueni tu kiama chenu kimefika.Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu ikiwemo vifo, majeraha na kuporomoka kwa uchumi
Pantaleo Mushi, mkazi wa Mbezi Beach, amesema anafahamu jukumu lake la kikatiba la kupiga kura na amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao hiyo ili kuepuka kumwachia kiongozi wasiyemtaka kuongoza kwa miaka mitano ijayo
Aidha, Said Nassor na Yusuph Ibengwe wa Kawe wamesema hawatambui wito wowote wa maandamano na wamewataka Watanzania kutojihusisha na vurugu kwa maslahi binafsi ya baadhi ya wanasiasa, bali kutumia kura zao kuchagua viongozi wanaowataka kwa njia ya amani
Wachambuzi wa siasa wamekazia kwamba mabadiliko ya kweli huanzia kwenye sanduku la kura, na kwamba kila kura ina thamani katika kuamua mustakabali wa taifa. Wameonya kuwa kutopiga kura ni sawa na kumpa mtu mwingine fursa ya kuamua maisha yako, huku wakisisitiza wananchi wasipoteze sauti yao bali washiriki kwa wingi ili kuimarisha demokrasia na kulinda kizazi kijacho
Wewe utakuwa ni Muliro bila shaka.Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu ikiwemo vifo, majeraha na kuporomoka kwa uchumi
Pantaleo Mushi, mkazi wa Mbezi Beach, amesema anafahamu jukumu lake la kikatiba la kupiga kura na amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao hiyo ili kuepuka kumwachia kiongozi wasiyemtaka kuongoza kwa miaka mitano ijayo
Aidha, Said Nassor na Yusuph Ibengwe wa Kawe wamesema hawatambui wito wowote wa maandamano na wamewataka Watanzania kutojihusisha na vurugu kwa maslahi binafsi ya baadhi ya wanasiasa, bali kutumia kura zao kuchagua viongozi wanaowataka kwa njia ya amani
Wachambuzi wa siasa wamekazia kwamba mabadiliko ya kweli huanzia kwenye sanduku la kura, na kwamba kila kura ina thamani katika kuamua mustakabali wa taifa. Wameonya kuwa kutopiga kura ni sawa na kumpa mtu mwingine fursa ya kuamua maisha yako, huku wakisisitiza wananchi wasipoteze sauti yao bali washiriki kwa wingi ili kuimarisha demokrasia na kulinda kizazi kijacho
Wapumbavu peke yao ndiyo wata ✅Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu ikiwemo vifo, majeraha na kuporomoka kwa uchumi
Pantaleo Mushi, mkazi wa Mbezi Beach, amesema anafahamu jukumu lake la kikatiba la kupiga kura na amewahimiza vijana kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao hiyo ili kuepuka kumwachia kiongozi wasiyemtaka kuongoza kwa miaka mitano ijayo
Aidha, Said Nassor na Yusuph Ibengwe wa Kawe wamesema hawatambui wito wowote wa maandamano na wamewataka Watanzania kutojihusisha na vurugu kwa maslahi binafsi ya baadhi ya wanasiasa, bali kutumia kura zao kuchagua viongozi wanaowataka kwa njia ya amani
Wachambuzi wa siasa wamekazia kwamba mabadiliko ya kweli huanzia kwenye sanduku la kura, na kwamba kila kura ina thamani katika kuamua mustakabali wa taifa. Wameonya kuwa kutopiga kura ni sawa na kumpa mtu mwingine fursa ya kuamua maisha yako, huku wakisisitiza wananchi wasipoteze sauti yao bali washiriki kwa wingi ili kuimarisha demokrasia na kulinda kizazi kijacho
Mafisadi watalia na kusaga menoWananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu ikiwemo vifo, majeraha na kuporomoka kwa uchumi