LGE2024 Wananchi Dar: Kupiga kura ni njia ya kuchagua maendeleo yetu

LGE2024 Wananchi Dar: Kupiga kura ni njia ya kuchagua maendeleo yetu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamesema, baada ya kukamilika kwa mchakato wa kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni wakati wa wananchi kujiandaa kwenda kupiga kura ili kuwachagua Viongozi watakaowaletea maendeleo katika maeneo yao.

Soma, Pia;

+ Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

+ Dar Es Salaam: TGNP na LHRC zaungana kutoa elimu na kuwahasa wananchi kushiriki kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa

+ RC Chalamila: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Dar kwa Uhuru na Haki
 
Back
Top Bottom