Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Dhamira ya Front for the Refoundation of the Nation ni kuunganisha na kuratibu majeshi yote ya upinzani ili kukomesha utawala wa kibabeβkwa kutumia njia yoyote inayowezekana, ikiwa ni pamoja na nguvuβna kuchora mwelekeo mpya pamoja na kuunda fursa mpya kwa nchi
Kumbuka ni muhukumiwa wa kifo in absence.Kabila mroho wa madaraka
Ni hilo tu ,maslahi wala heshima yake haijalindwa.Kabila kwasasa watamuona ni Ukombozi
Na niwazi yeye ni Mkombozi ndio Babake kawatoa Wacongo kwenye Utawala wa Mobutu Seseko
Nasasa tumaini lao ni lipo kwake kumtoa TShisekedi
Yeye kapewa nchi kwa Amani
Alitakiwa nayeye baada ya kumaliza tem zake mbili
Hasigombee tn kufanyike Uchaguzi nayeye akabidhi Utawala kwa mwengine
Kabila kataka icho tangu
mwanzo
Sasa kama utaki basi utakimbia Congo kabisa
Kabila anakuja tena kuwa kiongozi kwa muda βοΈ
hahahahahahaha,Kabila huyu huyu humu JF mlikua mkisema ni Mnyarwanda? mambo ya congo waachie wa congo, nyie deal na mambo yenu, huwezi kuijua congo ukiwa darKabila kwasasa watamuona ni Ukombozi
Na niwazi yeye ni Mkombozi ndio Babake kawatoa Wacongo kwenye Utawala wa Mobutu Seseko
Nasasa tumaini lao ni lipo kwake kumtoa TShisekedi
Yeye kapewa nchi kwa Amani
Alitakiwa nayeye baada ya kumaliza tem zake mbili
Hasigombee tn kufanyike Uchaguzi nayeye akabidhi Utawala kwa mwengine
Kabila kataka icho tangu
mwanzo
Sasa kama utaki basi utakimbia Congo kabisa
Kabila anakuja tena kuwa kiongozi kwa muda βοΈ
joseph kufika kinshansa ni ngumu sana ,wacongoman watasimama na congo yao, JKK alishaa pale miaka 18, hana jipya yeye kama anadaiwa na Dany Gertler atafute hela kwingine sio congoKumbuka ni muhukumiwa wa kifo in absence.
So popote akionekana huko auliwe na yeyote popote.
Sasa afanyeje?
Lets call spade a spade.
Vita ingine hiyo
Ni hilo tu ,maslahi wala heshima yake haijalindwa.
Anatakiwa kunyongwa au kuuwawa popote atakapopatikana.
Hapo angebaki kungangana Kinshasa leo angekuwa anatembezwa mitaani na kupigwa kama kibaka.
Sasa kaona battle to battle,na bado yanki yule msione midevu ile kama mwabukusi.
Wanaweka saloon tu
Bado hata umri Baba yake alivyoingia kumtoa Mobutu hajafika.
Wacongo wanastahili wanachokipitia, ni wajinga hawastahili kuhurumiwa hata kidogoKatika hali inayoonyesha kuwa pigo kwa utawala wa Rais Felix Tshisekedi wa DRC, Wananchi wa Congo π¨π© wamemshangilia Rais Kabila wakati Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Jean Pierre Bemba akihutubia leo Kinshasa
Soma Pia: Aliyekuwa Rais wa DRC, Kabila, Kuongoza Muungano Mpya Utakaochukua Nafasi ya AFC/M23
Siku ya Jumatatu Joseph Kabila, alitangaza kuchukua uongozi wa jukwaa jipya la kisiasa na kijeshi linalojulikana kama Front for the Refoundation of the Nation (FRN).
Muungano huo unajumuisha viongozi wakuu kutoka kundi la waasi la AFC/M23 na unajipanga kupinga serikali ya Kinshasa chini ya Rais Tshisekedi.
Anaogopa kunyongwaKabila mroho wa madaraka
Kosa kubwa serikali ya Congo ilifanya ni kumuhukumu kifo...sasa kabila inabidi apambane na hiyo serikali kujinusuru na hiyo hukumu..bora wangemwachaga tu...asingetumia nguvu kubwa hivi..kingine inaonekana ubelgij ipo nyuma yao mana walifanya uchuguz mkubwa kwa ndugu wa Tsheseked washing Brussels kwa madai ya wizi wa rasilimalimza congoKatika hali inayoonyesha kuwa pigo kwa utawala wa Rais Felix Tshisekedi wa DRC, Wananchi wa Congo π¨π© wamemshangilia Rais Kabila wakati Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Jean Pierre Bemba akihutubia leo Kinshasa