Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kwenye hoja yangu nimesema serikali iweke somo la lugha hiyo kama ilivyo kwenye kiswahili na kiingereza.Wazo lako zuri, lakini itabidi Wizara ya Elimu iweke iyo option kuanzia shule ya msingi kama somo, na pia kuna uwezekano tukaanza na kusoma "nukta" kwa ajili ya walemavu wa kuona.
Ndio mkuu, ila iwe kuanzia level ya S/Msingi kwasababu level za juu ipo (yapo) lakini kama option.Kwenye hoja yangu nimesema serikali iweke somo la lugha hiyo kama ilivyo kwenye kiswahili na kiingereza.
Sawa kwani ni rahisi mtu kuimudu lugha utotoni kuliko ukubwani.Ndio mkuu, ila iwe kuanzia level ya S/Msingi kwasababu level za juu ipo (yapo) lakini kama option.
Kweli bro.Sawa kwani ni rahisi mtu kuimudu lugha utotoni kuliko ukubwani.
Bahati mbaya Mods hawajapenda wameihamishia kwenye burudani hivyo umekosa mvuto na ushiriki.Upo sahii mkuu,Mimi mara nyingi huwa nataka kujifunza Lugha ya alama ila sijui nianzie wapi,siku hizi watu wenye changamoto hizi wengi sana, serikali ifanye jambo kwa ndugu zetu Hawa,Kila shule iwe na mwalimu ambae anajua Lugha hiyo,mwanafunzi atakae penda ajifunze..
Kuna Binti(double entendre) ni kiziwi,huwa nawasiliana nae kwa meseji tu,..Rafiki yangu Mzuri
Upo sahii mkuu,Mimi mara nyingi huwa nataka kujifunza Lugha ya alama ila sijui nianzie wapi,siku hizi watu wenye changamoto hizi wengi sana, serikali ifanye jambo kwa ndugu zetu Hawa,Kila shule iwe na mwalimu ambae anajua Lugha hiyo,mwanafunzi atakae penda ajifunze..
Kuna Binti(double entendre) ni kiziwi,huwa nawasiliana nae kwa meseji tu,..Rafiki yangu Mzuri