PostGE2025 Wananchi hawatakubali Bunge batili kutumika kuandika Katiba!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Wabunge wasijidanganye kwenye chaguzi kama hizi wananchi hawataweza kukubali hata kidogo mchakato wa katiba kuendeshwa na bunge hili fake.

Ni bora tusipotezeane muda na vijana wetu sasa sio wajinga jinga tena.
 
Nyambafu kabisa, yaani katiba ya nchi itungwe na baba levo??!!
Masihara hayo.
 
Rasimu ya warioba ipo ,hiyo ndiyo benchmark ,hakuna kuanza mchakato tena wa kukusanya maoni wakati tayari yapo ,tuendelee tulipoishia kwenye rasimu ya warioba kabla GENGE LA WAHUNI kuharibu.

Rasimu ya warioba ndiyo inayotakiwa ,hatutaki hao WAHUNI waichakachue.
 
Wabunge wasijidanganye kwenye chaguzi kama hizi wananchi hawataweza kukubali hata kidogo mchakato wa katiba kuendeshwa na bunge hili fake.

Ni bora tusipotezeane muda na vijana wetu sasa sio wajinga jinga tena.
Ndo maana D9 ni muhimu sana sana. Bila D9 tumekwisha, damu za ndugu zetu zitakuwa zimepotea bure
 
Taratiibuu sanaa naona vita ya kidini ikisogea taratibuu sanaa....pia muungano shakani naona palee wala si mbali
 
Nyambafu kabisa, yaani katiba ya nchi itungwe na baba levo??!!
Masihara hayo.
Hakuna mtu wa kutoa katiba ya kwenda kumfunga hamna katiba zile ni hadaa kama za JK kipindi kile kuchezea kodi za Watanzania
 
Back
Top Bottom