Hichi kizazi Cha Gen Z wasipoona njia ya kukidhibiti.... Kesho tutazungumza mengine, kwasababu vugu vugu la kizazi hiki ni Cha Dunia nzima....
Ni kizazi kinachotaka mabadiliko nikiwa na maana, kama wewe' unakula tule wote, ukinufaika tunufaike wote....
Changamoto, ni mafanikio ya wazazi yanaanikwa hadharani na vijana wako wenyewe, at the end inaonekana ulihujumu kitu kumbe inawezekana ikawa ni savings zako tu'
Kijana wangu na mwanangu fedha na maendeleo yangu, ni ya kwangu si yako, jaribu kutafuta Cha kwako... Hii kauli ingetiliwa mkazo kwa watoto wa vigogo isingetokea kwa yaliyotokea NEPAL, sijui Africa kitatokea nini ila Nina waza....
Muda ni rafiki wa wote, ngoja tuone ya kule msumbiji..
Wako,
Kidundundu wa Bunju Mtongani