johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanza nauliza mbunge wa Newala ni nani na anatokea chama gani cha siasa?
Nimeona kupitia kipindi cha Taarifa ya habari ITV wananchi wa kata ya Mkoma wilayani Newala mkoani Mtwara wakilalamikia ubovu wa barabara katika kata yao na kwamba hawajawahi kuona Fuso zaidi ya kuziona luningani.
Nimeshangaa na kusikitika sana, kule Rombo kwa mfano mabodi ya Fuso hutumika kama mabanda ya kufugia nguruwe vijijini.
Maendeleo hayana vyama!