Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
 
Ndomana wanawapa kichapo mpaka majumbani na sehemu za mali zao

Ova
 
Hivi wanawake waliwakoseaga nini eti, nyie viumbwela?

Mbona msiseme wananunulika kama soda ya pepsi au hata mafuta ya kula???

Shame on you!
Uzuri aliesema hayo maneno ni mbunge ambae ni mwanamke mwenzenu,
 
Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
Bora wao wabunge wananunuliwa. Hawa wa kwetu ni bure kabisa wanajipeleka. Jamaa wanajipigia bure tu
 
Back
Top Bottom