Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wakazi wa Kijiji cha Mbwera, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, wanalazimika kuning'iniza simu zao kwenye paa la baraza la nyumba mojawapo kijijini hapo ili kupata mtandao wa mawasiliano.
Kwamba katika miaka 65 baada ya uhuru, karne ya 21, chini ya utawala wa Serikali katili ya CCM, mawasiliano bora ya simu bado ni adimu kwa wananchi wengi Tanzania badala ya kuwa huduma ya msingi?
Kwamba katika miaka 65 baada ya uhuru, karne ya 21, chini ya utawala wa Serikali katili ya CCM, mawasiliano bora ya simu bado ni adimu kwa wananchi wengi Tanzania badala ya kuwa huduma ya msingi?