Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kufanya Kampeni ya kuomba kura Kigoma Mjini, ambapo kupitia Mahojiano ya Wasafi TV baadhi ya wananchi wa Kigoma wameeleza kupendezwa na mgombea huyo wakidai kauli mbiu ya mitano tena haitoshi kuwa ingefaa Mgombea huyo kupewa Umalkia moja kwa moja
---------------
“MAMA SAMIA MITANO INAONEKANA MICHACHE, TUNGEMPA UMALKIA MOJA KWA MOJA”
Mgombea kiti cha Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan atakuwepo Kigoma mjini Septemba 14 kwaajili ya kufanya kampeni ya kuomba kura