KERO Wananchi kijiji cha Mwabebea/Nyashishi wilayani Misungwi tuna shida kubwa ya maji

KERO Wananchi kijiji cha Mwabebea/Nyashishi wilayani Misungwi tuna shida kubwa ya maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari, Tusaidie kwa kero Yetu wananchi wa Mwanza, ninapatikana wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kijiji Mwabebea/ Nyashishi, shida ya maji kwetu.

IMG_2146.jpeg
 
Back
Top Bottom