Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Rais Samia, eneo la Kipunguni limekuwa eneo la mateso makubwa sana kwa wananchi.
Hili eneo toka 2017 wameletwa watu walipime kusubiri utanuzi wa uwanja wa ndege. Wakasimamisha ujenzi wowote na wapangaji wakashauriwa kuondoka
Rais Samia mpaka wananchi wako wanakulilia kuna mambo yanaendelea hayako sawa na watu wamekaa kimya
2022 walikuja wengine wakapima tena Kipunguni, toka 2022 wananchi wanadanganywa wanakuja kulipwa baada ya kamati kukaa na kuanza kuandika barua kadhaa na mbunge kushiriki wakaja na matangazo wanalipa watu 208 kwanza
Toka Februari mpaka sasa kati ya wananchi 1860, ni wananchi 208 tu wamelipwa. Kilichofanyika kuzima makelele viongozi wote wamelipwa. Na toka walipwe hakuna kelele za kuwalilia wananchi wengine walipwe
Mpaka sasa wananchi wanaomba kujua mustakabali wao.
Hakuna kupangisha
Hakuna ujenzi wowote
Cc
Waziri wa Ujenzi
Waziri wa Fedha
Mbunge wa Ukonga
Walisubiri na kuheshimu March wataanza kulipwa
Kwa sasa uvumilivu umewashinda nawajuza maana wanatarajia kufanya mandamano mpaka taa kudai malipo yao
Wameacha kufanya maendeleo yoyote
Mungu ibariki Tanzania