Huyu Mzee alishasema hatogombea tena ubunge nini kimemrudisha?Wananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura.
Uchu wa madaraka.Huyu Mzee alishasema hatogombea tena ubunge nini kimemrudisha?
Aendelee kubanwa hivyohivyo mpaka atoe ngamaWananchi wa jimbo la Kongwa mkoani dodoma wameendelea kumbada kwa maswali mazito, Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai, ambaye ni Mtia Nia wa Ubunge jimbo la Kongwa mkoani Dodoma akijinadi mbele ya Wajumbe kuomba kura.
Kutoka uspika Hadi kuwa mke WA mtu kweli dunia hadaaKasukumiwa moto masikini!! Eti mimi ndo mke wenu mkubwa! Ndugai leo anajiita mke wetu!! Hehee kweli ubunge mtamu!
Kutoka uspika Hadi kuwa mke sio mchezo aiseeWhat I say is, in my country a politician needs the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year...... And to have the ability afterwards to explain why it didn't happen...🤣