Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu

Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu na wanauwana kwa risasi na kutekana kwasababu ya mtu mmoja kweli shetani kazini.

Haya yote yameletwa na tamaa za madaraka za Samia

FB_IMG_17653080373723733.jpg
 
Tumekuwa wafungwa kwenye siku ya uhuru wa Tanganyika yetu.

Unatembea barabarani kugusani na mtu, njia nzima uko pekee yako mana tumewekwa ndani ya kifungo.

Hali iliyokuwepo trh 9 /12 ni hali ile ile iliyokuwa trh 30/10 utofauti ni mauaji tuu.

Watanganyika wenzangu, hii kitu sijawahi kuiona tangu nazaliwa, Ila kutokana na tamaa za madaraka pamoja na upumbavu wa wapuuzi wachache wanaojiita machawa, wametufikisha Hapa.


We'll be free tomorrow.
 
Mkitaka uhuru nyie ViGen Inzi katafuteni uhuru kwa waume zenu!!
Hii inchi ina serikali kamili
Uhuru mnaotaka ni kuwaiba mali za watu na kuvunja sio??
 
Mkitaka uhuru nyie ViGen Inzi katafuteni uhuru kwa waume zenu!!
Hii inchi ina serikali kamili
Uhuru mnaotaka ni kuwaiba mali za watu na kuvunja sio??
Waliokuwa wanaiba c mshawaua wote, au kuna ambao mliwabakisha?
 
Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu na wanauwana kwa risasi na kutekana kwasababu ya mtu mmoja kweli shetani kazini.

Haya yote yameletwa na tamaa za madaraka za Samia

View attachment 3513705
Tanganyika haipo huru. Ni mateka wa genge la CCM mtandao la Samia Kikwete, Rostam. Abdul, Ridhwani.

Bado tunapambana kupata uhuru kamili.
 
Mkitaka uhuru nyie ViGen Inzi katafuteni uhuru kwa waume zenu!!
Hii inchi ina serikali kamili
Uhuru mnaotaka ni kuwaiba mali za watu na kuvunja sio??
Nyinyi matahira ndio mnapendwa na viongozi wasio na uwezo wa kuongoza maana kila pumba mnapongeza.
 
Nyumbu unataka uhuru wa kuiba na kuharibu mali za watu siyo? Toka kaibe hakuna anaekukataza
 
Back
Top Bottom