Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Waliokuwa wanaiba c mshawaua wote, au kuna ambao mliwabakisha?Mkitaka uhuru nyie ViGen Inzi katafuteni uhuru kwa waume zenu!!
Hii inchi ina serikali kamili
Uhuru mnaotaka ni kuwaiba mali za watu na kuvunja sio??
Tanganyika haipo huru. Ni mateka wa genge la CCM mtandao la Samia Kikwete, Rostam. Abdul, Ridhwani.Wananchi leo hawajasherekea uhuru kwasababu ya tamaa za mtu mmoja tu na wanauwana kwa risasi na kutekana kwasababu ya mtu mmoja kweli shetani kazini.
Haya yote yameletwa na tamaa za madaraka za Samia
View attachment 3513705
Nyinyi matahira ndio mnapendwa na viongozi wasio na uwezo wa kuongoza maana kila pumba mnapongeza.Mkitaka uhuru nyie ViGen Inzi katafuteni uhuru kwa waume zenu!!
Hii inchi ina serikali kamili
Uhuru mnaotaka ni kuwaiba mali za watu na kuvunja sio??