Wananchi Mbeya wakiimba wimbo wa taifa kabla ya mazishi ya aliyeuawa kwa risasi

Mauwaji hayapaswi kupewa tuzo tukutane tena tarehe 9/12 vituo na nyumba za polisi waviamishie nje ya nchi maana kitawaka
 
kwa staili hii hawa watoto watarud tena barabarani
Mungu tunusuru na maafa haya!
Civil war ni mbaya sana sana sana
 
Huyu bibi asivyokuwa na akili ameshindwa kusoma mood ya watz wengi baada ya mauaji yaliyotokea, hajajirekebisha leo kafungulia kesi ya uhaini waandamaji wengine wakiongozwa na Nifer huko dar.
Vijana badala ya kuwa na hofu, morale ndio imeongezeka zaidi!.
 
December 9 kitawaka tena.
Gen-Z hawapoi, ni mwendo wa bandika bandua, weka ugoko niweke jiwe.
 
Serikali Imegoma kuwapa Heshima wanaostahili. Ila wananchi wameamua kuwapa Heshima
 
Dah
Uzalendo
Ukombozi
Ujasiri
Utaifa
Umoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…