Wananchi Mihogo Party

Timu ya Wananchi, @yangasc1935 jumapili kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar imeandaa sherehe fupi inayofahamika kama 'Wananchi Mihogo Party' ambayo imeandaliwa rasmi kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo.View attachment 2413684
Hapo hata wale
wa Simba tutawaona watavokuja na michepuko yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…