Chevi_masta
Member
- Sep 13, 2021
- 11
- 15
Timu ya Wananchi, @yangasc1935 Jumapili kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar imeandaa sherehe fupi inayofahamika kama 'Wananchi Mihogo Party' ambayo imeandaliwa rasmi kwa ajili ya mashabiki wa timu hiyo.