Wananchi Mihogo Party

industry News wao wanasema duniani muhogo unaliwa na watu zaidi ya bilioni moja na mzalishaji mkubwa akiwa nigeria
 
Faida nyingine ya muhogo ni 1/4 ya cognac whiskey au vikali duniani hutokana na muhogo
 
Lakini pia yeboyebo unazovaa kuna ambazo ni product ya muhogo
 
Muhogo mkavu unaolimwa Geita na kigoma na Tabora soko lake kubwa ni visiwa vyote vya kagera, ukerewe, Rwanda, Burundi na uganda wafanyabiashara huingiza mabilioni ya pesa kwa mfano kilo moja mwezi wa tano iliuzwa kati ya 400 hadi 500 , pale runzewe au kakonko, alieweka ule muhogo miezi minne leo anapiga shilingi 1000 kwa kilo akiwa amekaa ukifika huko uliza muhogo unatunzwaje utaelezwa
 
Muhogo miezi kama hii umeisha kigoma, geita, kwa sasa mfanyabiashara anafuata Mtwara kwa shilingi 500, ambapo tani thelathini ya muhogo ni 15 milioni mtwara, gari semi tani( nauli) milioni 10 mtwara uganda , ushuru na wabebaji ni laki 6 , clearing boda kuvusha na kushusha semi ni laki 6 , mauzo jumla leo kwa uganda kilo moja ilikua 1040 hivo mauzo milioni 31200000 toa manunuzi na gharama ilikua milioni 27200000 kinachobaki ni faida yako kama milioni tatu na laki nane kazi ya siku 10 ushatoka mtwara hadi mutukula msidharau muhogo ndugu zangu, MUHOGO JUU JUU ZAID
 
Hahahaha hiyo ni baada ya kupata ushindi na sasa wanakuja na idea ile ile ambayo mwanzo ilikuwa kero kwa mashabiki

Nimependa sana aina hii ya ubunifu
Hapo hakuna cha ubunifu wanachokifanya ni kuondoa kero na kujitahidi kumpambania msomali ionekane ile kauli yake haikuwa na maana ya dharau kwa washabiki wa utopolo,
Ila nakuhakikishia siku hiyo hiyo ya party wakishavimbiwa watafanya vituko vitakavyozalisha jina jipya lenye kero zaidi....
 
Wanataka kulizika jina la mihogo fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]thubutuuuuu tuko na nyie sako kwa bako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…