Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mihogo mitamu Sana aisee acha tu!!!View attachment 2413700
Futari ya mihogo iliyopikwa kwa mawese na nyama itakuepo
Hapo hakuna cha ubunifu wanachokifanya ni kuondoa kero na kujitahidi kumpambania msomali ionekane ile kauli yake haikuwa na maana ya dharau kwa washabiki wa utopolo,Hahahaha hiyo ni baada ya kupata ushindi na sasa wanakuja na idea ile ile ambayo mwanzo ilikuwa kero kwa mashabiki
Nimependa sana aina hii ya ubunifu