johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nahisi muda si mrefu Dar itawekwa katika Karantini!Ni mawazo mazuri sana.Dar ilipaswa kutengwa kwa muda, lakini viongozi wetu wagumu
Safi Sana wananchi wa Simiyu
Mikoa mingine waige pia, Tunawaua Wazee Wetu huko kwa ma-ujinga ya wachavhe. Na ikiwezekan migomo iwepo,Corona haisafiri inasafirishwa
Uzinduzi!Sasa walienda kushuhudia nn hapo wananchi, dawa zinavyopulizwa kwenye mabasi au?
Tanzania Mungu atusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Too late, kitu tayari kinanyong'onyea kwenye makoromeo ya WananchiNahisi muda si mrefu Dar itawekwa katika Karantini!
Ni mawazo mazuri sana.Dar ilipaswa kutengwa kwa muda, lakini viongozi wetu wagumu
Nimekuelewa mkuussssshhhhhhhh !!!!
mkuu nyamaza ishia hapo hapo, sisi ni taifa teule mungu atatukinga, yani tukitoka sisi ndio inafuata israel na mataifa mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
pamoja sana boss
Kwa lipi hasa ?Kipindi hiki cha corona watu wa mikoani wanaonekana bora kuliko wa dar [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amezindua utaratibu wa kupulizia dawa mabasi yote na vyombo vingine vya usafiri mkoani humo.
Katika tukio la kushangaza wananchi waliokuwepo stendi kuu kushuhudia zoezi hilo walimtaka mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo la kuwaweka katika Karantini abiria wote wanaoingia mkoani humo wakitokea Dsm.
RC Mtaka aliwajibu kuwa yeye hana mamlaka hayo na kwamba mwenye uwezo wa kutoa agizo kama hilo ni Waziri mkuu mh Majaliwa.
Source ITV habari!
SafiLeo mkuu wa mkoa wa Simiyu mh Mtaka amezindua utaratibu wa kupulizia dawa mabasi yote na vyombo vingine vya usafiri mkoani humo.
Katika tukio la kushangaza wananchi waliokuwepo stendi kuu kushuhudia zoezi hilo walimtaka mkuu huyo wa mkoa kutoa agizo la kuwaweka katika Karantini abiria wote wanaoingia mkoani humo wakitokea Dsm.
RC Mtaka aliwajibu kuwa yeye hana mamlaka hayo na kwamba mwenye uwezo wa kutoa agizo kama hilo ni Waziri mkuu mh Majaliwa.
Source ITV habari!
Kuna watu walisitahil kutawaliwaUzinduzi!