Wananchi mnakaribishwa Sudan

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo pango la popobawa au mtumbwi wa vibwengo tena?Maana tuliambiwa watawakung'uta kama ngoma!Utopolo kwa kujikweza!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwendo wameumaliza wananchiiiii,azam nao yale yale kipanga nao ndo wale wale kwa kifupi hizi kazi ni za (.....)malizia mwenyewe
 
Tunaenda kuwa b*ka mbele za wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…