Wananchi mnakaribishwa Sudan

Wananchi mnakaribishwa Sudan

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Naona jamaa wameamua kuwa waungwana na kuwakaribisha mapeeeema huko kwao wanakokuita KUZIMU,sjui kwanini wanaita hivyo
IMG_6251.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo pango la popobawa au mtumbwi wa vibwengo tena?Maana tuliambiwa watawakung'uta kama ngoma!Utopolo kwa kujikweza!😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwendo wameumaliza wananchiiiii,azam nao yale yale kipanga nao ndo wale wale kwa kifupi hizi kazi ni za (.....)malizia mwenyewe
 
Back
Top Bottom