Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Aug 20, 2024 #1 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na wanyama kwenye Mto Nkana. Soma Pia: Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi Your browser is not able to display this video.
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msangano wilaya ya Momba mkoani Songwe wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya upatikanaji wa maji wakidai kuwa wamekuwa wakitumia maji pamoja na wanyama kwenye Mto Nkana. Soma Pia: Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi Your browser is not able to display this video.