Nimecheka sana hadi Kububujikwa na machozi ๐ ๐Wakuu,
Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah
Mnatumia nguvu kubwa kufanya mama akubalike lakini wapi, angalau basi mkiwapa watu script wawe hata na tu lugha twa ushawishi๐๐
=====
my lovely lady Cute Wife ,Wakuu,
Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah
Mnatumia nguvu kubwa kufanya mama akubalike lakini wapi, angalau basi mkiwapa watu script wawe hata na tu lugha twa ushawishi๐๐
=====
Kwahiyo umekimbia kufungua kuona hao watu wawili pekee? ๐ ๐my lovely lady Cute Wife ,
nisamehe sana sijaskiza na sijafungua ulichoambatanisha kwenye hoja yako,
but I can assure you and confirm to Tanzanians without fear of contradictions, kwamba maoni yao dhidi ya kipenzi na tumaini lao Dr Samia Suluhu Hassan yamezingatiwa na taasisi zote za umma na wananchi wote bila mbambamba ya mtu yeyote.
Dr Samia Suluhu Hassan, is the president of united republic of Tanzania, by Grace of God to 2035๐
siko pazuri plz my Lady, nilipo pana kelele, halafu nipo na wazee kidogo, excuse me my lovely lady nisionekane siko na nidhamu, nisitiri wangu but nimeidownload, ntaisikiza tu๐Kwahiyo umekimbia kufungua kuona hao watu wawili pekee? ๐ ๐
Digrii za kusomea zinawaongezea wahusika maarifa na uelewa kiakili. Je hizi digrii za heshima zinamuongezea nini mhusika?Wakuu,
Hivi vichwa vya habari lazima director na mhariri mkuu atakuwa Lucas Mwashambwa tu, afu wana undugu na Tlaatlaah
Mnatumia nguvu kubwa kufanya mama akubalike lakini wapi, angalau basi mkiwapa watu script wawe hata na tu lugha twa ushawishi๐๐
=====
MmmmmhDokta standard seven