Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,

polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,

Ushauri
Tii sheria bila shuriti

Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Wakigoma wananchi watajilinda wenyewe.Wananchi wanachokitaka ni uwajibikaji.Hayo yote yanayotokea chanzo chake ni polisi wenyewe kushindwa kuwajibika ipasavyo.
 
Kwahiyo umechagua hayo tu ndio uyasemee? Hayo ya kwanza hapo juu hukuyaona?

Kwa akili hizi ccm itatawala milele
Hiyo milele yako umewahi kufika?.Watu wanataka serikali inayowajibika sio blah blah uku wananchi wakipoteza imani kila siku.
 
Hiyo milele yako umewahi kufika?.Watu wanataka serikali inayowajibika sio blah blah uku wananchi wakipoteza imani kila siku.
Kuwajibika serikali inawajibika ipasavyo na mpaka sasa imewajibika kikamilifu mbali ya kasoro ndogo ndogo za hapa na pale, labda tukubali tu kwamba huwezi kukubaliwa na wote wala kuchukukiwa na wote
 
Kuweka mumbukumbu sawa,wangeenda zaidi ya kuzuia ili iwe fundisho kwa wengine
 
Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,

polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,

Ushauri
Tii sheria bila shuriti

Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Wakina Soka walitii sheria. Wako wapi?
 
Si kuna mabaki ya miili .
Hiyo itapimwa na ku compare na fingerprint walizochukuliwa walipojoin jeshi. Wao si wanasema jeshi la police, wawaue tu miili itatambulika
Basi tuseme mabaki ya hiyo miili iwe kichwa na kiwiliwili, lakini mikono yote, hadi vidole vimekuwa majivu; hapo bado kutakuwepo na 'fingerprint' ya kulinganisha? Je, vidole vyote vikikatwa na kupotezwa!

Bila shaka lengo lako lilikuwa tofauti na hizo 'fingerprint' ulizo zitaja. Hebu tueleze hicho kipimo kingine ni kipi.
 
Tatzo unaiweka kisiasa sana mara chadema, hili ni la watanzania wote.
Hilo lisikupe shida, na usidhani mimi ni sehemu ya CHADEMA. Nawataja CHADEMA kwa sasa hivi kwa sababu ndio pekee wanaoonyesha kuwaongoza wananchi wote wenye mapenzi mema na nchi hii kuondokana na huu upuuzi unao onyeshwa na CCM sasa hivi.
Hata huko CCM kwenyewe pakitokeza sauti za kukataa haya ya wenzao, nao nitawaunga mkono vile vile.
 
Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,

polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,

Ushauri
Tii sheria bila shuriti

Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Kwani Ally Kibao si alitii sheria bila shuruti, akapigwa pingu na kuondoka ...
Usipo tumia akili kipindi hiki utatii kifo kabla ya muda wako ...

Hao wananchi hawajakataa mtuhumiwa kuachiwa, Bali aje OCS kutambua kama wale ni askari kweli
 
Hata walichofanya nwanza ni kutii sheria bila shuruti na wamesimamia haki yao, nilichouliza je ni vipi majambazi wengi kwa umoja wao wakiwaitia polisi kwamba ni waatekaji si wataungwa mkono na raia?

Huoni hatari hapo?
 
Majambazi watapiga kelele, watu watajaa ....Askari anatakiwa awe na kitambulisho na aambatane na kiongozi wa Serikali ya mtaa ..

Kivyovyote vile Majambazi hawawezi kutoroka kwani watu wataomba msaada wa kituo jirani cha polisi kuja kuhakiki usalama ...
 
Kwa hali inayoendelea natoa wito kwa raia wema kuendelea kusimamia suala hili kwa weredi mkubwa kabisa ili watu wasiojulikana wajulikane. Vilevile kwa vyombo vya usalama wafuate kanuni za ukamataji wa raia lasivyo washughulikiwe kama majambazi na wahalifu wengine. Safi sana wan Mwanza. Keep it up.
 
Back
Top Bottom