Wakigoma wananchi watajilinda wenyewe.Wananchi wanachokitaka ni uwajibikaji.Hayo yote yanayotokea chanzo chake ni polisi wenyewe kushindwa kuwajibika ipasavyo.Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Hiyo milele yako umewahi kufika?.Watu wanataka serikali inayowajibika sio blah blah uku wananchi wakipoteza imani kila siku.Kwahiyo umechagua hayo tu ndio uyasemee? Hayo ya kwanza hapo juu hukuyaona?
Kwa akili hizi ccm itatawala milele
Sawa la kugoma tumeelewa, vipi la majambazi kuwaitia polisi watekaji?Wakigoma wananchi watajilinda wenyewe.Wananchi wanachokitaka ni uwajibikaji.Hayo yote yanayotokea chanzo chake ni polisi wenyewe kushindwa kuwajibika ipasavyo.
Kuwajibika serikali inawajibika ipasavyo na mpaka sasa imewajibika kikamilifu mbali ya kasoro ndogo ndogo za hapa na pale, labda tukubali tu kwamba huwezi kukubaliwa na wote wala kuchukukiwa na woteHiyo milele yako umewahi kufika?.Watu wanataka serikali inayowajibika sio blah blah uku wananchi wakipoteza imani kila siku.
Wakina Soka walitii sheria. Wako wapi?Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Basi tuseme mabaki ya hiyo miili iwe kichwa na kiwiliwili, lakini mikono yote, hadi vidole vimekuwa majivu; hapo bado kutakuwepo na 'fingerprint' ya kulinganisha? Je, vidole vyote vikikatwa na kupotezwa!Si kuna mabaki ya miili .
Hiyo itapimwa na ku compare na fingerprint walizochukuliwa walipojoin jeshi. Wao si wanasema jeshi la police, wawaue tu miili itatambulika
Hilo lisikupe shida, na usidhani mimi ni sehemu ya CHADEMA. Nawataja CHADEMA kwa sasa hivi kwa sababu ndio pekee wanaoonyesha kuwaongoza wananchi wote wenye mapenzi mema na nchi hii kuondokana na huu upuuzi unao onyeshwa na CCM sasa hivi.Tatzo unaiweka kisiasa sana mara chadema, hili ni la watanzania wote.
Wewe siku zote ni kilaza tu hata uchawa ni kazi ngumu kwako. Uliniona wapi nimevaa 'kombati'.Utayaweza hayo mavaa kombati jua kali
Hii nchi maigizo sanaBado polisi wapo kwenye uchunguzi wa kuwatambua 😂
Kwani Ally Kibao si alitii sheria bila shuruti, akapigwa pingu na kuondoka ...Khofu yangu ni kwamba hii chance inaenda kutumiwa na wahalifu sasa,
polisi watapata tabu sana kutoka kwa majambazi, hembu imagine majambazi yanapiga kelele kwamba tunatekwaaaaa, halafu raia wanaenda kusaidia majambazi bila hata kujua masikini,
Ushauri
Tii sheria bila shuriti
Siku polisi wakigoma ndio mtajua umuhimu wao
Hata walichofanya nwanza ni kutii sheria bila shuruti na wamesimamia haki yao, nilichouliza je ni vipi majambazi wengi kwa umoja wao wakiwaitia polisi kwamba ni waatekaji si wataungwa mkono na raia?Kwani Ally Kibao si alitii sheria bila shuruti, akapigwa pingu na kuondoka ...
Usipo tumia akili kipindi hiki utatii kifo kabla ya muda wako ...
Hao wananchi hawajakataa mtuhumiwa kuachiwa, Bali aje OCS kutambua kama wale ni askari kweli
Na kombati jua kali kama mende,kopa akili kama hunazoWewe siku zote ni kilaza tu hata uchawa ni kazi ngumu kwako. Uliniona wapi nimevaa 'kombati'.
Majambazi watapiga kelele, watu watajaa ....Askari anatakiwa awe na kitambulisho na aambatane na kiongozi wa Serikali ya mtaa ..Hata walichofanya nwanza ni kutii sheria bila shuruti na wamesimamia haki yao, nilichouliza je ni vipi majambazi wengi kwa umoja wao wakiwaitia polisi kwamba ni waatekaji si wataungwa mkono na raia?
Huoni hatari hapo?
Maana ya neno "kilaza" unaijua?. Usijibu, kwa sababu wewe ni kilaza, naona taabu sana kukuhangaisha hapa na vitu usivyo kuwa na uwezo wa kuvielewa.Na kombati jua kali kama mende,kopa akili kama hunazo
Acha kuvaa kombati jua kali,ni ujingaMaana ya neno "kilaza" unaijua?. Usijibu, kwa sababu wewe ni kilaza, naona taabu sana kukuhangaisha hapa na vitu usivyo kuwa na uwezo wa kuvielewa.
'Kilaza' anayajuaje haya!Acha kuvaa kombati jua kali,ni ujinga