Wananchi Nachingwea walia na ukosefu wa maji safa na salama kwa muda mrefu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205

Wananchi wa Kijiji cha Mkumba, Kata ya Mpiruka wilaya ya Nachingwea mkoa wa Lindi, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama, hali inayohatarisha afya na ustawi wao.

Wananchi hao wamesema kuwa licha ya kuunganisha mabomba ya maji katika makazi yao kwa matumaini ya kupata huduma hiyo kwa urahisi, bado wanakumbwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu.

Soma Pia: Wiki tatu bila maji: Wananchi wa Unyinga, Mamise na Unyakumi tunataka ufafanuzi kutoka SUWASA

Akizungumza kwa njia ya simu na Mashujaa FM Meneja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi–Nachingwea (MANAWASA) Wilaya ya Nachingwea, Ibrahim Wanchara, amesema kuwa kwa sasa huduma ya maji inatolewa kwa mfumo wa mgao kutokana na uzalishaji wa maji kuwa mdogo kuliko mahitaji.
 
View attachment 3640287

Kazi na utu.....nchi haina shida yoyote waache siasa.
 
Watu wakituita manyani tunakasirika, huu ni unyani kabisa kmmke...watu wamejaa Tu ofisini wanakuza vitambi na kushindana kwenda chooni kunya Tu...vita ya Irani Eti inachangia vifaa visije hahah, kuna watu ni wapumbavu wa kutupwa kabisa.
 
Back
Top Bottom