Wananchi Parade Jumamosi ya tarehe 10.06.2023

Wananchi Parade Jumamosi ya tarehe 10.06.2023

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜[emoji471]

๐— ๐—”๐—•๐—œ๐—ก๐—š๐—ช๐—” wa kihistoria Jumamosi ya tarehe 10.06.2023 tutakuwa na ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜ kubwa ya kusherekea ubingwa wa mara ๐Ÿฎ๐Ÿต na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kuanzia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, saa 03:00 asubuhi na kupita Veta - Kamata - Msimbazi na Mwisho Makao Makuu ya Klabu yetu Jangwani.

#KlabuYaTaifa
#WananchiParade
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

UPDATE YA MATUKIO YOTE NA PICHA ZITAPATIKANA KWENYE UZI HUU
20230609_131153.jpg
 
Kumbe mnanisikiliza. Niliwaambia nembo ya SportPesa inakosekana kwenye poster mmeenda kurekebisha. Safi sana, hivyo ndiyo jinsi mikataba inavyoheshimiwa.
 
Sasa wanataka kututoa kwenye reli ya kusikia watakachosema Wabunge kwenye swala la Bandari.

Yanga ni kijiwe cha CCM.
Sidhani hii ratiba ilikuwepo tayari na watakachosema wabunge kitakuwa kwenye Kila platforms ukitaka utakipata
 
WATU WENYE AKILI TIMAMU WAPO BUZY KUFUATILIA MKATABA WA BANDARI.

Mwenzangu na Mimi MBUMBUMBU mzungu WA Reli unawaza sherehe , za yanga.

Hayo yote ya
FEISAL.
Milioni 5 za MAGOLi
Milioni 20
IKULU.

Ni kutupoteza maboya.
Kututoa kwenye Reli.
 
Kumbe mnanisikiliza. Niliwaambia nembo ya SportPesa inakosekana kwenye poster mmeenda kurekebisha. Safi sana, hivyo ndiyo jinsi mikataba inavyoheshimiwa.
Ilikosekana wapi mbona makolo mnapata tabu sana
 
Mayele ameongoza chati ya ufungaji bora karibia miezi mitano, leo siku ya mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
๐—ช๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—–๐—›๐—œ ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜[emoji471]

๐— ๐—”๐—•๐—œ๐—ก๐—š๐—ช๐—” wa kihistoria Jumamosi ya tarehe 10.06.2023 tutakuwa na ๐—ฃ๐—”๐—ฅ๐—”๐——๐—˜ kubwa ya kusherekea ubingwa wa mara ๐Ÿฎ๐Ÿต na Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC kuanzia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, saa 03:00 asubuhi na kupita Veta - Kamata - Msimbazi na Mwisho Makao Makuu ya Klabu yetu Jangwani.

#KlabuYaTaifa
#WananchiParade
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

UPDATE YA MATUKIO YOTE NA PICHA ZITAPATIKANA KWENYE UZI HUU View attachment 2651039
body_louse_home2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inachekesha [emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230610_105939.jpg
 
Back
Top Bottom