Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
CCM ya Bi, Chokochoko hiyooo..!CCM huwa wanapenda chokochoko.
Hawa ACT walikuwa wamenunua mkufu wa dhahabu mchana toka kwa kibaka aliyewapitishia mkufu nyumbani. Usiku kibaka kaja na wenzake akiwa na mapanga na marungu, anawalazimisha watoe mkufu, wao wanakataa kuwa hawana, unafikiri kibaka atakubali wakati anajua amewauzia mchana?
Siku ukiona akili yako inakutuma uiamini CCM, wahi mapema Milembe hospital.