Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hoja zikifanana, hilo andamano litakuwa balaa!Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM!
1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu
2. Ngorongoro-kuhamishwa
3. Simanjiro kudai maji