Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM!

1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu
2. Ngorongoro-kuhamishwa
3. Simanjiro kudai maji
 
Siku hoja zikifanana, hilo andamano litakuwa balaa!
 
Taratibu tutaelewana tu. Usingizi umeanza kuisha. Tutaongea lugha moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…