Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia wa nchi hizo.

Wamesema kuomba huko na iwapo hatimae watakuwa wanachama wa umoja huo utaondosha hadhi ya muda mrefu ya kuwa watetezi wa amani wa dunia.

Still room for a 'peacemaker': Hear from civilians on Sweden's NATO application

Wanajua NATO ipo kwa maslahi ya USA tu. Wengine wote wanatumika kibubusa tu
 
Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia wa nchi hizo.

Wamesema kuomba huko na iwapo hatimae watakuwa wanachama wa umoja huo utaondosha hadhi ya muda mrefu ya kuwa watetezi wa amani wa dunia.

Still room for a 'peacemaker': Hear from civilians on Sweden's NATO application

Hao ni sawa sawa na wale walioandama kupinga vita ndani ya Urusi. Waliopiga kura kuunga mkono kujiunga NATO wanaelewa zaidi kipi cha kufanya kuliko umbea unaopigwa hapa JF.
 
[emoji91][emoji91][emoji91]A new video address by Azov commander Denys “Redis” Prokopenko. He says the regiment has orders from Kyiv to end resistance in order to save lives. He suggests that next stage is the evacuation of the dead[emoji91][emoji91][emoji91] https://t.co/wNijR0Idqf
 
Hii thread naona imejaa mashehe tu ndio maana hata reasoning hakuna.
Stop mental slavery bro, kabla ya kanisa na msikiti mababu zetu waliishi kwa kuheshimiana na kuweka mbele utu, hizi dini zilizoletwa zisitufanye kuwa chanzo cha kubaguana wenyewe kwa wenyewe, ulicho andika hapo juu ni utumbo na inaonesha jinsi gani ulivyo dhaifu wa fikra.

Mtu yeyote dhaifu akishindwa hoja hukimbilia ku personalize vitu baadala ya kedeal na hoja husika, epuka hii sumu ni mbaya
 
Vp mpaka hapo [emoji116][emoji116][emoji116]

#BREAKING | #Ukraine's Azov regiment says military command has issued order to end combat in #Mariupol.

#UkraineRussia https://t.co/YEbqkjVniN
 
Back
Top Bottom