Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya kipumbavu yasiokuwa na tija katika taifa letu ikiwemo ushoga, usagaji na mengineyo mengi. Swala la ushoga linajikita katika malezi hivyo basi mtoto anapoharibikiwa lawama zipelekwe kwa wazazi na walezi na sio serikali.