Haihitaji akili nyingi sana kuwafahamu mashoga!Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya kipumbavu yasiokuwa na tija katika taifa letu ikiwemo ushoga, usagaji na mengineyo mengi. Swala la ushoga linajikita katika malezi hivyo basi mtoto anapoharibikiwa lawama zipelekwe kwa wazazi na walezi na sio serikali.
Kijana unajua kazi ya serikali?Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya kipumbavu yasiokuwa na tija katika taifa letu ikiwemo ushoga, usagaji na mengineyo mengi. Swala la ushoga linajikita katika malezi hivyo basi mtoto anapoharibikiwa lawama zipelekwe kwa wazazi na walezi na sio serikali.
Serikali lazima ihusike kwa mfano kwani ni wajibu wa mzazi kukagua ubora wa elimu katika mashule ambako watoto wanafundishwa masuala hayo ref..kupatikana kwa vitabu vinavyohamasisha ushoga je serikali imwachie mzazi kwakuwa inashughulikia maji, umeme, barabara afya n.k?Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya kipumbavu yasiokuwa na tija katika taifa letu ikiwemo ushoga, usagaji na mengineyo mengi. Swala la ushoga linajikita katika malezi hivyo basi mtoto anapoharibikiwa lawama zipelekwe kwa wazazi na walezi na sio serikali.
Serikalini ikishughulika tena na maswala ya malezi ya watoto hao wazazi majukumu yao yatakuwa yapi? Mzazi manake ni kiongozi wa mtoto yeye ndiye dereva wake na sio serikali, serikali itashughulika na watu ambao wamepata malezi kutoka kwa wazazi na walezi wao, ikiwa kuna yatima na wazazi wasiojiweza kabisa hapo ndipo serikali itaweka mkono wake na si vinginevyo,Serikali lazima ihusike kwa mfano kwani ni wajibu wa mzazi kukagua ubora wa elimu katika mashule ambako watoto wanafundishwa masuala hayo ref..kupatikana kwa vitabu vinavyohamasisha ushoga je serikali imwachie mzazi kwakuwa inashughulikia maji, umeme, barabara afya n.k?
Hii imeenda, Hivi unajua umeandika nini?Wananchi wa Tanzania tuache kuihusisha Serikali na mambo ya kipumbavu kama ushoga na mengineyo. Tukumbuke kuwa Serikali inajadili mambo ambayo yana maslai makubwa katika taifa letu ikiwemo afya, elimu, usalama na mengineyo mengi. Hakuna siku Serikali itasimama hadharani kuzungumzia mambo ya kipumbavu yasiokuwa na tija katika taifa letu ikiwemo ushoga, usagaji na mengineyo mengi. Swala la ushoga linajikita katika malezi hivyo basi mtoto anapoharibikiwa lawama zipelekwe kwa wazazi na walezi na sio serikali.