Wananchi tunaenda kujinyakulia tuzo zetu tatu za uhakika

Tumeshasema huu mjadala kama timu yako haipo kaa kimya.
Ninyi mlikuwa mnaongea zaidi yetu kwenye African Football League (AFL) na hamkuwemo hata kwenye orodha ya wageni kwenye ufunguzi. Ilikuwaje b...?

Ova
 
Mayele ni mchezaji wa yanga?
 
Jinsi li club lenu lilivyopangwa la mwisho kwny list ndo litakua la mwisho kwny kila tuzo... 🐸 🐸 🐸
 
Ninyi mlikuwa mnaongea zaidi yetu kwenye African Football League (AFL) na hamkuwemo hata kwenye orodha ya wageni kwenye ufunguzi. Ilikuwaje b...?

Ova
Hahahaaaaaa nimechekaaaaa! Kwanza nilijua hii huwezi kuruka, utaingia tu mzima mzima maana inachoma.

Mambo ya AFL yameshapita b… tuko kwenye tuzo za CAF sasa hivi.
Walioishia robo fainali hii sio sehemu yao.
 
Labda muhonge...mnakuwaje club bora mbele ya alhaly ilochukua club bingwa hebu kwanza ncheke...
Labda kama kuna sababu tofauti..labda kwa sbb mlikua club dhoofu bin hali mkaibuka kama uyoga...hapo labda...
 
Haki haita tendeka.

Yanga tunaweza kupiga kura nyingi sana na kuongoza lakini

1.Alhly
2. Onana.
Hawa hata tufanye nini hatuwezi kuwafikia.
 
Labda muhonge...mnakuwaje club bora mbele ya alhaly ilochukua club bingwa hebu kwanza ncheke...
Labda kama kuna sababu tofauti..labda kwa sbb mlikua club dhoofu bin hali mkaibuka kama uyoga...hapo labda...
Kama wewe uliweza kucheza AFL huku ukiwa hujawahi kunusa hata nusu fainali pia misimu miwili iliyopita hujawahi kuchukua kombe lolote lile basi hakuna linaloshindikana.
 
Tuendelee kukesha na kufunga kwa maombi...
 
Kama wewe uliweza kucheza AFL huku ukiwa hujawahi kunusa hata nusu fainali pia misimu miwili iliyopita hujawahi kuchukua kombe lolote lile basi hakuna linaloshindikana.

Ila kwa jinsi mlivyotoka mavumbini na kuja kwny uso wa dunia..kweli lolote linaweza tokea...
 
hizooo panel ndio tatizo ingekuwa kura tuu wangejua hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…