Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Wananchi tunafeli wapi kununua tiketi?

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
20241125_212023.jpg
 
Kesho siku ya kazi tatizo 😀😀
Hili ndilo jibu, weekday. Anayesema hatuna mashabiki. Mara ya mwisho tumekutana na madunduka, Yanga tulijaa, ilibidi wakae hadi upande wa hao madomo kaya.

Kuna mashabiki wa mikoani, kwa siku ya kazi, kwao inakuwa ngumu. Atakayeelewa ataelewa. Atakayejifanya bichwa lake gumu kuelewa tumuangalie tu kama nyanya mbichi.

#yangabingwa
#since1935
 
Hili ndilo jibu, weekday. Anayesema hatuna mashabiki. Mara ya mwisho tumekutana na madunduka, Yanga tulijaa, ilibidi wakae hadi upande wa hao madomo kaya.

Kuna mashabiki wa mikoani, kwa siku ya kazi, kwao inawakuwa ngumu. Atakayeelewa ataelewa. Atakayejifanya bichwa lake gumu kuelewa tumuangalie tu kama nyanya mbichi.

#yangabingwa
#since1935
Naunga mkono hoja tajiri yangu tukutane VIP b kesho inshallah tutashinda inshallah
 
Hili ndilo jibu, weekday. Anayesema hatuna mashabiki. Mara ya mwisho tumekutana na madunduka, Yanga tulijaa, ilibidi wakae hadi upande wa hao madomo kaya.

Kuna mashabiki wa mikoani, kwa siku ya kazi, kwao inawakuwa ngumu. Atakayeelewa ataelewa. Atakayejifanya bichwa lake gumu kuelewa tumuangalie tu kama nyanya mbichi.

#yangabingwa
#since1935
Siku ya kazi?? Stop making excuses

The fact ni kwamba mpo outnumbered na huo ndio ukweli.

Na sio lazima mkubaliane nao.

Tumewaona mechi nyingi katika nyakati ambazo ni za weekend tena mkiwa mpo kwenye kilele cha furaha kutokana na matokeo mazuri

Lakini bado uwanjani mligoma kuingia mpaka pale walipoamua kuwafungulia mageti muingie bure.
 
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Kama hizo takwimu ni sahihi basi wamejitahidi. Mashabiki wa Yanga mechi za 50/50 wanaziogopa sana.
 
Siku ya kazi kupata mashabiki ngumu sana
Sio kweli

Afu acheni excuses za kishamba

Kuna mechi ilichezwa jumamosi na muitikio wa mashabiki ulikuwa mdogo.

Tulipowauliza mkatuambia sababu ni jumamosi mashabiki wengi ni wasabato.

Kwa hiyo tunawajua...hakuna siku iliyowahi kutokea ambayo mashabiki hawakuja kwa wingi uwanjani halafu ikakosekana sababu
 
Hili ndilo jibu, weekday. Anayesema hatuna mashabiki. Mara ya mwisho tumekutana na madunduka, Yanga tulijaa, ilibidi wakae hadi upande wa hao madomo kaya.

Kuna mashabiki wa mikoani, kwa siku ya kazi, kwao inawakuwa ngumu. Atakayeelewa ataelewa. Atakayejifanya bichwa lake gumu kuelewa tumuangalie tu kama nyanya mbichi.

#yangabingwa
#since1935
Ila tukiitiwa supu tutajaa hata iwe siku ya kazi. "Mie nipewe kidari" alisikika mwiko nyuma
 
Back
Top Bottom