Wananchi tunamsaidiaje Mpina?
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.

Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",

Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.

NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya

- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
I stand alongside Mpina.Wahamiaji wamepewa mamlaka ya kufanya maamuzi ya nchi ,rf incumbent CDF.
 
X
Hukumu utaitekeleza vipi wakati wahuni hawategemei kura ya mtu. Wanashinda "kwa kishindo" kupitia wizi tu..

#NASIMAMA NA MPINA
Mwaka ujao watashika adabu! Polisi hawataiba tena kura, kustaafu kikotoo kimewamaliza. Badala ya kupata mil 80 unapata 30mil. Dadeki!
 
Hata wewe ni kichaa maana umesoma alichoandika kichaa na kuelewa
Elewa nimetoa msemo unaweza kuhadithia matendo ya kichaa huwezi kuwa kichaa ilaukishirikiana nae kichaa ndio utakuwa ........ Ukitembea namwizi nawewe utakuwa mwizi lakini ukiibiwa nakuhadithia huwezi kuwa mwizi jitahidi kutafakari kidogo
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.

Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",

Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.

NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya

- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
Nasimama na Mpina
 
Nasimama na Luhaga Mpina. Nakemea wizi wa Bashe na serikali yake
 
Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayari kumpa % kadhaa katika mshahara kama shukurani
 
Mkuu ni kweli. Lkn watu hujifunza kutokana na makosa na kisha hubadilika.

Hata shetani alikuwa malaika mkuu. Je, tuendelee kuheshimu asili yake (alipokuwa malaika) ama tumhukumu kwa kazi zake za sasa?
We jamaa/mdada kumbe una akili hivi?

#YNWA
 
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.

Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",

Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za kumnyamazisha.

NB: Huu siyo uzi wa kupiga stori, andika hayo maneno matatu tu. Comment ya kwanza nimeonesha mfano.

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge

- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya

- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
NASIMAMA NA MPINA
 
Back
Top Bottom