Wananchi tunaomba maji yapatikane kwa haraka, watu sahizi tunatumia maji ya kwenye madimbwi

Wananchi tunaomba maji yapatikane kwa haraka, watu sahizi tunatumia maji ya kwenye madimbwi

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wananchi Mwanza walia shida ya maji, Serikali yawatoa hofu huduma kurejea leo

"Tunaomba maji yapatikane kwa haraka, kwa sababu kama nilivyosema mwanzo kwa sababu watu sahizi wanatumia maji ya kwenye madimbwi, maji machafu."

 
Bado kuna sehemu anadaiwa
Yalikuwa maneno yamakada,na mabango yaliosambazwa nchi nzima .....tuseme nini juu ya hayo mkoa wenye chanzo cha maji kinachoiifaidisha nchi zaidi 6 Ila mwenye chanzo hana maji sijui tulilogwa na nani
 
Sababisha tatizo makusudi...halafu litatue kisiasa.
 
Back
Top Bottom