Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Bado kuna sehemu anadaiwaMama hana deni unasema nini wewe
Punguza jazba kijanaKatika hao wanaotumia maji ya madibwini wapo wataptiki October. Mpumbavu hastahili maendeleo.
Yalikuwa maneno yamakada,na mabango yaliosambazwa nchi nzima .....tuseme nini juu ya hayo mkoa wenye chanzo cha maji kinachoiifaidisha nchi zaidi 6 Ila mwenye chanzo hana maji sijui tulilogwa na naniBado kuna sehemu anadaiwa
Jazba zinapunguzika, sina hakika na upumbavu. Unaweza?Punguza jazba kijana
Wanachojua ni kujisaidia haja kubwa tu mule kwenye Ziwa haakuna kingineAibu jamani,ziwa victoria lipo hapo tu.
Yan kama jina LAKO vileAibu jamani,ziwa victoria lipo hapo tu.