Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
The constitutional reform as a current social need, is eminent and is in sight. It is just a matter of time.Hatusikii hatuoni kila kitakachotokea sasa hakitaweza kuupindisha umma wa WaTanzania walio wengi,matukio yote yanayokuja kwa kasi kama uyoga yatakufa kama uyoga,
Tanzania ya leo sio ile ya Mwalimu Nyerere ,wahusika msiache maCCM wakawachezea sharubu .
Ni kweli wananchi tunataka Katiba Mpya ILA si kwa mashinikizo na vitisho kama hivi kutoka kwa viongozi wa CHADEMA, ambao wote wanasukumwa na ulafi wa RUZUKU AU/NA POSHO watakazo pata wakati wa mchakato huo ambao wao wanataka uanzie tena Bungeni. Hii siyo sahihi, sisi wananchi tunataka tuanzie kwenye KURA YA MAONI - period. Hatua hii ndiyo sahihi na muafaka katika kutafuta Katiba Mpya, vinginevyo wasubiri kama alivyo sema Rais wetu SSH.Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba tuitakayo.
Kama wananchi tungekuwa hatutaki katiba mpya tusingetoa maoni na mapendekezo ya katiba tuitakayo kwa tume ya Warioba.
Kumbuka wewe ni kiongozi hivyo sio vema kupotosha ukweli chadema ina viongozi wanachama na wafuasi hao wote hao ni wananchi na wana haki ya kudai katiba mpya kama wananchi.
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba tuitakayo.
Kama wananchi tungekuwa hatutaki katiba mpya tusingetoa maoni na mapendekezo ya katiba tuitakayo kwa tume ya Warioba.
Kumbuka wewe ni kiongozi hivyo sio vema kupotosha ukweli chadema ina viongozi wanachama na wafuasi hao wote hao ni wananchi na wana haki ya kudai katiba mpya kama wananchi.